THE SCHOOL OF HEALING
Ni huduma maalum na takatifu inayoongozwa na mtumishi wa Mungu, Mch. Dkt. Eliona Kimaro kutoka katika kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania.
Lengo kuu la huduma ni kuponya mioyo ya watu mbalimbali wanaomuamini kristo kuwa ni mwokozi na mtetezi wa Maisha yao. Lakini pia ni huduma maalum inayofungua akili za watu namna ya kijitambua na kuona fursa mbalimbali kupitia mafundisho yanahusu uchumi kibiblia.
NENO LA UTUME
" IWE NURU "
("LET THERE BE LIGHT")
Mwanzo 1:3
Kwa maoni na ushauri:
Simu :
(+255) 655 516 053
(+255) 754 516 053
Barua Pepe:
elionakimaro555@gmail.com

| YouTube Stats |
|---|
| Joined 19 Oct 2016 |
| 18,631,176 Views |
| 4,231 Videos |
© 2026 GTDB